Kichin cha Siyin

Kichin cha Siyin ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar inayozungumzwa na Wasiyin. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichin cha Siyin kiko katika kundi la Kisal.

Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kichin ya Siyin ilihesabiwa kuwa watu 10,000.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy